Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Nitaipataje ebook baada ya kulipa?
Ukishatuma uthibitisho wa malipo na tukayathibitisha, tunakutumia ebook yako na unaanza kusoma muda huo huo.
Inafaa kwa simu yoyote?
Ndiyo. Mbinu zilizomo zinafanya kazi iwe unatumia Android au iPhone.
Nahitaji uzoefu wowote?
Hapana. Kitabu kimeandaliwa kwa anayeanza kabisa.
Nahitaji mtaji mkubwa kuanza?
Hapana. Kitabu kinakuonyesha njia za kuanza kuuza online bila gharama za duka.