EBOOK

Rusha Instagram ads kwenye iPhone bila kukatwa 30%

Ukibonyeza Boost kwenye app ya Instagram ya iPhone, Apple inakata hadi 30% ya bajeti yako. Kitabu hiki cha Kiswahili kinakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kurusha tangazo hilohilo bila makato hayo.

Ebook Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Instagram Bila Kukatwa 30% Apple Fee na Amani Longishu

Utajifunza nini kwenye kitabu hiki

Kila hatua imeelezwa kwa picha za skrini za iPhone, ili ufuate unachokiona.

Kwa nini unakatwa 30%

Kuandaa akaunti

Kurusha tangazo bila makato

Kitabu hiki ni kwa ajili ya nani?

Ni kwa ajili yako kama:

Si kwa ajili yako kama:

Unatumia simu ya Android: chukua ebook ya Sponsored Ads Kwenye Android.

Unataka masomo ya video na kocha: jiunge na kozi ya Uza Deilee.

Jinsi ya kujiunga

  1. Lipia Tsh 25,000 kupitia lipa ya mpesa 353574117 au lipa ya NMB 12405060
  2. Tuma uthibitisho wa malipo whatsapp button ipo hapo
  3. Tukishathitisha malipo yako tunakutumia ebook yako.
  4. Unaanza kusoma muda huo huo.

Bei ya ebook

TZS 25,000

Lipa: 353574117

Jina: OPTIZA DIGITAL

Bei ya ebook

TZS 25,000

Lipa: 12405060

Jina: OPTIZA DIGITAL

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Nitaipataje ebook baada ya kulipa?

Ukishatuma uthibitisho wa malipo na tukayathibitisha, tunakutumia ebook yako na unaanza kusoma muda huo huo.

Naweza kuitumia kwenye simu ya Android?

Kitabu hiki ni maalum kwa iPhone. Kwa Android kuna ebook yake, Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Kwenye Android.

Nahitaji uzoefu wowote?

Hapana. Kitabu kimeandaliwa kwa anayeanza kabisa.

Bei inajumuisha pesa ya matangazo?

Hapana. TZS 25,000 ni bei ya ebook. Bajeti ya matangazo unaipanga mwenyewe.

Tangaza kwenye iPhone yako, na pesa yote iende kwenye tangazo.