EBOOK
Kitabu cha Kiswahili kinachokuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutangaza biashara yako Instagram, Facebook na TikTok ukitumia simu ya Android tu, bila kompyuta.
Kila hatua imeelezwa kwa picha za skrini za simu ya Android, ili ufuate unachokiona.
Unatumia iPhone: chukua ebook ya Sponsored Ads Instagram kwa iPhone.
Unataka masomo ya video na kocha: jiunge na kozi ya Uza Deilee.
Ukishatuma uthibitisho wa malipo na tukayathibitisha, tunakutumia ebook yako na unaanza kusoma muda huo huo.
Kitabu hiki ni maalum kwa simu za Android. Kwa iPhone kuna ebook yake, Sponsored Ads Instagram Bila Kukatwa 30% Apple Fee.
Hapana. Kitabu kimeandaliwa kwa anayeanza kabisa.
Hapana. TZS 18,000 ni bei ya ebook. Bajeti ya matangazo unaipanga mwenyewe.