Jifunze ana kwa ana na Amani Longishu ofisini Mwenge, Dar es Salaam, peke yako au pamoja na timu yako, kulingana na biashara yako.
Chagua aina ya training
MTU MMOJA MMOJA
Training binafsi
Mafunzo yanayolenga biashara yako peke yako, ili ujifunze kwa kasi yako na kuuliza kila swali ulilonalo. Ana kwa ana, ofisini kwetu Mwenge, Dar es Salaam.