Masomo ya video unayosoma kwa simu yako, kwa muda wako, na kocha anayejibu maswali yako.
INAPATIKANA SASA
Jifunze kurusha sponsored ads mwenyewe na uuze bidhaa zako kila siku kupitia Instagram, Facebook, TikTok na WhatsApp.
TZS 60,000
INAKUJA HIVI KARIBUNI
Jinsi ya kusimamia mitandao ya kijamii ya brand ya nguo: maudhui, matangazo na kuwavutia wateja wanaonunua.
Jinsi ya kukuza brand ya vipodozi na urembo mtandaoni kwa maudhui na matangazo yanayouza.
Ebooks zetu zinaanzia TZS 12,000. Ni njia rahisi ya kuanza kujifunza kuuza online na kurusha sponsored ads.