Skip to content

Ebooks za Kiswahili za kukuza biashara yako

Vitabu vifupi unavyoweza kusoma kwenye simu yako, kuanzia kuanza kuuza online mpaka kurusha sponsored ads mwenyewe.

Ebook Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Kwenye Android na Amani Longishu

Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Kwenye Android

Hatua kwa hatua za kurusha matangazo Instagram, Facebook na TikTok ukitumia simu ya Android.

TZS 18,000

Ebook Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Instagram Bila Kukatwa 30% Apple Fee na Amani Longishu

Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Instagram Bila Kukatwa 30% Apple Fee

Kwa watumiaji wa iPhone: rusha matangazo Instagram bila kulipa ada ya ziada ya 30% ya Apple.

TZS 25,000

Ebook Uza Online Bila Duka na Amani Longishu

Uza Online Bila Duka

Jinsi ya kuuza bidhaa zako mtandaoni bila kuwa na duka la gharama.

TZS 12,000

Unataka zaidi ya kitabu?

Kozi ya Uza Deilee ina masomo ya video na kocha anayejibu maswali yako, kwa Instagram, Facebook, TikTok na WhatsApp ads.