UZA DEILEE

Jifunze kurusha Sponsored Ads mwenyewe uuze bidhaa zako deilee

Kozi ya video kwa Kiswahili kwa mfanyabiashara anayetaka kuuza kila siku. Utajifunza hatua kwa hatua kurusha sponsored ads Instagram, Facebook, TikTok na WhatsApp.

Utajifunza nini kwenye kozi hii

Kuanza kuuza online

3 mada

Kuandaa biashara yako

4 mada

Kuuza bila matangazo

3 mada

Instagram na Facebook ads

5 mada

TikTok na WhatsApp ads

2 mada

Kozi hii ni kwa ajili ya nani?

Ni kwa ajili yako kama:

Si kwa ajili yako kama:

Wanafunzi wetu wanasemaje

Jinsi ya kujiunga

  1. Lipia Tsh 60,000 kupitia lipa ya mpesa 353574117 au lipa ya NMB 12405060
  2. Tuma uthibitisho wa malipo whatsapp button ipo hapo
  3. Tukishathitisha malipo yako tunakuadd kwenye kozi.
  4. Unaanza muda huo huo kujifunza maana kila kitu kipo tayari.

Ada ya kozi

TZS 60,000

Lipa: 353574117

Jina: OPTIZA DIGITAL

Ada ya kozi

TZS 60,000

Lipa: 12405060

Jina: OPTIZA DIGITAL

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Kozi ni online au offline?

Ni online. Unajifunza kupitia app ya Selar, siyo kwenye magroup ya WhatsApp.

Kozi inachukua muda gani?

Kozi iko tayari, kwa hiyo unajipangia muda wako mwenyewe. Ukitenga saa 1 kila siku, ndani ya siku 7 unakuwa tayari kurusha tangazo lako la kwanza.

Nikiwa na swali naweza kuuliza?

Ndiyo. Kila somo lina sehemu ya kuuliza maswali, na kocha wako anakujibu na kukuelekeza.

Nahitaji uzoefu wowote?

Hapana. Kozi imeandaliwa kwa anayeanza kabisa.

Nitaanza lini baada ya kulipa?

Mara tu malipo yako yanapothibitishwa, unaongezwa kwenye kozi na unaanza kujifunza.

Bei inajumuisha pesa ya matangazo?

Hapana. TZS 60,000 ni ada ya kozi. Bajeti ya matangazo unaipanga mwenyewe, na kozi inakufundisha jinsi ya kuipanga.

Siku 7 kutoka sasa, unaweza kuwa unarusha sponsored ads mwenyewe