Skip to content

Ujuzi wa kidijitali unaokusaidia kuuza kila siku

Kozi, ebooks na mafunzo kwa Kiswahili kutoka kwa Amani Longishu na Optiza Digital, kwa wafanyabiashara na vijana wanaotaka kupata wateja mtandaoni.

Amani Longishu akiwa ofisini, training binafsi ya Optiza Academy

Kozi

INAPATIKANA SASA

Uza Deilee

Jifunze kurusha sponsored ads mwenyewe na uuze bidhaa zako kila siku kupitia Instagram, Facebook, TikTok na WhatsApp.

TZS 60,000

Kozi zinazokuja

INAKUJA HIVI KARIBUNI

Social Media Management for Clothing Brands

Jinsi ya kusimamia mitandao ya kijamii ya brand ya nguo: maudhui, matangazo na kuwavutia wateja wanaonunua.

INAKUJA HIVI KARIBUNI

Social Media Management for Beauty & Cosmetic Brands

Jinsi ya kukuza brand ya vipodozi na urembo mtandaoni kwa maudhui na matangazo yanayouza.

Ebooks

Vitabu vya Kiswahili unavyoweza kusoma kwenye simu na kuanza kutumia leo.

Ebook Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Kwenye Android na Amani Longishu

Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Kwenye Android

Hatua kwa hatua za kurusha matangazo Instagram, Facebook na TikTok ukitumia simu ya Android.

TZS 18,000

Ebook Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Instagram Bila Kukatwa 30% Apple Fee na Amani Longishu

Jinsi ya Kurusha Sponsored Ads Instagram Bila Kukatwa 30% Apple Fee

Kwa watumiaji wa iPhone: rusha matangazo Instagram bila kulipa ada ya ziada ya 30% ya Apple.

TZS 25,000

Uza Online Bila Duka

Jinsi ya kuuza bidhaa zako mtandaoni bila kuwa na duka la gharama.

TZS 12,000

Trainings

Mafunzo ya sponsored ads na kuuza mtandaoni, kwa timu yako au kwako binafsi.

Amani Longishu akiwa ofisini, training binafsi ya Optiza Academy

MTU MMOJA MMOJA

Training binafsi

Mafunzo yanayolenga biashara yako peke yako, ili ujifunze kwa kasi yako na kuuliza kila swali ulilonalo. Ana kwa ana, ofisini kwetu Mwenge, Dar es Salaam.

TSH 150,000

Timu ya wajasiriamali wakijifunza pamoja kwenye training ya kikundi

KWA TIMU NA VIKUNDI

Training ya kikundi

Kwa timu ya mauzo, kikundi cha wajasiriamali au taasisi. Tunaandaa mafunzo kulingana na mahitaji yenu.

Bei kulingana na mahitaji yenu

Wanafunzi wanasemaje

KOCHA WAKO

Kutana na Amani Longishu

Mimi ni mwanzilishi wa Optiza Digital, agency ya masoko ya kidijitali hapa Dar es Salaam. Kila siku nasaidia biashara ndogo kupata wateja kupitia matangazo ya Facebook, Instagram, TikTok na WhatsApp, pamoja na SEO na maudhui.

Optiza Academy ndipo ninapofundisha mbinu hizo hizo, kwa Kiswahili rahisi, ili nawe uzitumie kwenye biashara yako.